NYUMBA INAUZWA IRINGA
Sifa zake> Ina vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa>Hati ipo nyumba ipo na vielelezo vyote nyeti vipo>Eneo ambalo limejengwa ni alisimia 30 ya uwanja > uwanja una ukubwa wa Skwea mita 525 >Maji na umeme upo> Barabara inafika hapa nyumbani Nyumba hii ilikukuwa ikiuzwa Tsh milioni 60 sasa ni TSh 35 maelewano yapo> Nyumba ipo eneo la Mkimbizi Bima katika Manispaa ya Iringa jirani na kituo cha Yatima cha Deily Bread Kwa mawasiliano piga simu namba 0754 026 299/0789281030/0712750 199
Leave a Comment